Vurugu ya Kijinsia na VVU
Mpango Mwongozi wa Kuunganisha Uzuizi wa Vurugu ya Kijinsia na Majibu katika Mipango ya PEPFAR
Faster downloadPublished Year: 2012

Language: sw
Details: Uchapishaji huu ulitolewa na usaidizi kutoka Mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa Kutuliza UKIMWI (PEPFAR) unaofadhiliwa na Wakala ya Marekani ya Maendeleo ya Kimataifa (USAID)
Summary: Kuna ushahidi mkubwa kuwa vurugu ya kijinsia (GBV) ni chanzo na pia matokeo ya maambukizi ya VVU, lakini programu na huduma zilizoundwa kushughulikia maradhi yanayoenea zimegawanyika vipande vipande kwa kiasi kikubwa. Huu mwongozi unatoa hatua ya kuanza kwa Mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa Kutuliza UKIMWI (PEPFAR) kwa kuunganisha majibu ya msingi ya GBV ndani ya programu za VVU zilizopo na kuanzisha uhusiano wa juhudi mbali mbali zinazo shughulikia GBV.