Faithfulness - Mawasiliano wa Ana kwa Ana

Sikia Kengele - HIV Training for Religious Leaders Interpersonal Communication

Faster download
Pakua
1.6 MB

Published Year: 2010

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Utafiti huu umewezeshwa kwa msaada wa watu wa Marekani kupitia taasisi ya kimarekani ya (USAID), kupitia mradi wa TMARC. Note: This document has been modified to append another related resource found here: https://pdf.usaid.gov/pdf_docs/PNADX670.pdf

Summary: Maelezo kwa ufupi kuhusu Mafunzo Mafunzo haya ya siku moja yanalenga kuwapatia viongozi wa dini zana zitakazowasaidia kusikiliza kwa ufanisi na kuwasiliana kwa ufanisi kuhusu taarifa za VVU ili iwe rahisi kugusa mioyo ya watu wanaowahudumia na pengine kubadili tabia zao. Mafunzo yanaelezea stadi nne za msingi zinazohitajika wakati wa kufanya mazungumzo ya kujikinga na VVU: Kusikiliza kwa makini, kuuliza maswali, na kudodosa, na kutumia zana za kusaidia kufi kisha ujumbe. Mbinu za uwezeshaji wakati wa mafunzo zitashirikisha kila mshiriki kujadili na kuchangia uzoefu wa kila mmoja wakati wa kujifunza.pia mafunzo yatatoa fursa kwa washiriki kufanya kwa vitendo stadi zote nne ili waweze kuwa na ujasiri wa kuzitumia stadi hizo wakiwa wenyewe watakaporudi kwenye jamii zao.