Sign up for news and free books by email!
Mwongozo wa Taifa wa Kukinga na Kudhibiti Maambukizo katika Utoaji wa Huduma za Afya
Kiongozi cha Mfukoni kwa Watoa Huduma za Afya
Publisher Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
sw
Download
7.9 MB
Maambukizo ni moja ya vyanzo vinavyoongoza katika kusababisha maradhi na vifo nchini Tanzania. Pia ni miongoni mwa vyanzo vitano vya vifo vya akina mama wakati wa uzazi. Kutibu maambukizo ni gharama kubwa na hata matibabu yakifanikiwa yanaweza kuacha madhara ya muda mrefu. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ina wajibu wa kuhakikisha kwamba huduma za afya zinazotolewa ni bora na salama kwa watu wote. Kukinga maambukizo ni suala muhimu katika utoaji wa huduma bora za afya.
...
Thank you to Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.