Mwongozo wa Mwalimu wa Kufundishia Elimu ya Awali
Faster downloadPublished Year: 2019

Language: sw
Details: Mwongozo wa Mwalimu wa Kufundishia Elimu ya Awali umethibitishwa kwa matumizi katika Shule za Awali Tanzania
Summary: Mwalimu, ni muhimu kuelewa kuwa Elimu ya Awali inatolewa kwa watoto kwa lengo la kuwakuza kiakili, kimwili, kijamii na kihisia. Mtoto wa Elimu ya Awali anapaswa kujenga umahiri ambao atautumia katika maisha yake ya kila siku.