Ushauri Nasaha na Upimaji wa VVU kwa Hiari Mwongozo wa Mwezeshaji
Mchapishaji Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Mwaka 2010
sw
Pakua
5.5 MB
Madhumuni: Kuchangia katika mpango wa taifa katika mapambano na VVU katika nyanja za kuzuia maambukizi, kutoa matunzo na matibabu kwa kutumia huduma za upimaji wa VVU unaoombwa na mteja mwenyewe. Lengo Kuu: Kuwapa watoa huduma maarifa na stadi za kutoa huduma yenye ubora wa juu katika Ushauri Nasaha na upimaji wa VVU unaoombwa na mteja mwenyewe.
...
Sehemu yoyote ya kitabu hiki inaweza kunukuliwa na mashirika yasiyo ya kibiashara ili mradi yaitam-bue na kuitaja Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (WAUJ). Kimeandaliwa na kuchapishwa na WAUJ kwa msaada wa JICA/CDC/AMREF/WHO http://www.nacp.go.tz/site/download/guide_trainer_vct_2010_revised_swahili.pdf
...
Kimetafsiriwa na
Benny Muga Lugoe
ISBN: 9789987650613
Shukrani kwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.