Publisher Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Madhumuni: Kuchangia katika mpango wa taifa katika mapambano na VVU katika nyanja za kuzuia maambukizi, kutoa matunzo na matibabu kwa kutumia huduma za upimaji wa VVU unaoombwa na mteja mwenyewe.
Lengo Kuu: Kuwapa watoa huduma maarifa na stadi za kutoa huduma yenye ubora wa juu katika Ushauri Nasaha na upimaji wa VVU unaoombwa na mteja mwenyewe.
...