Huduma ya Kwanza ya Usaidizi wa Kisaikolojia
Mwongozo kwa Wahudumu Walio Mashinani
Kimeandikwa na World Health Organization
Mchapishaji World Vision Kenya
Mwaka 2015
sw
Pakua
6.5 MB
Matukio mabaya yakitokea katika jamii zetu, nchi zetu na ulimwenguni, huwa tunataka kutoa usaidizi kwa waathiriwa. Mwongozo huu unashughulikia Huduma ya kwanza ya kiakili (kisaikolojia) ambayo inahusu usaidizi wa kiutu na kihalisia inayotolewa kwa binadamu wengine wanaopitia matukio ya hatari. Mwongozo huu umeandikiwa wasaidizi wa watu wanaopitia tukio la kufadhaisha sana. Mwongozo unaonyesha njia za kusaidia watu kwa kuheshimu utu wao, tamaduni na uwezo wao. Mbali na anwani yake, Mwongozo wa Huduma ya kwanza unashughulikia pia usaidizi wa kijamii na kisaikolojia. Yaliyomo: 1. Njia za kusaidia katika hali ya hatari - mbinu. 2. Majanga. 3. Huduma za dharura za kimatibabu. 4. Mabadiliko ya kisaikolojia. 5. Huduma ya kwanza - saikolojia. 6. Matatizo ya mfadhaiko, mshtuko wa kiakili. 7. Miongozo. This guide covers psychological first aid which involves humane, supportive and practical help to fellow human beings suffering serious crisis events. It is written for people in a position to help others who have experienced an extremely distressing event. It gives a framework for supporting people in ways that respect their dignity, culture and abilities. Endorsed by many international agencies, the guide reflects the emerging science and international consensus on how to support people in the immediate aftermath of extremely stressful events.
...
English original and other translations are available here: https://www.who.int/publications/i/item/9789241548205 Waandishi na Wahariri Leslie Snider (War Trauma Foundation, WTF), Mark van Ommeren (Shirika la Afya Duniani, WHO) na Alison Schafer (Shirika la Kimatifa la World Vision, WVI). Mwongozo umetafsiriwa na kuhaririwa kutoka kwa Kiingereza hadi Kiswahili kwa usimamizi na uongozi wa Dkt. Iribe Mwangi akishirikiana na Dkt. Evans Mbuthia wote kutoka Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi. Msaidizi wa tafsiri amekuwa John Paul Warambo wa TWB-K. Mwelekeo wa kitaaluma kuhusu afya ya kiakili umetolewa na Lincoln Ndogoni na Dorothy Anjuri wa World Vision Kenya.
...
Kimetafsiriwa na
Iribe Mwangi, Evans Mbuthia
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.