You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Diwani Ya Akilimali
Mchapishaji East African Literature Bureau
Mwaka 1963
sw
Kurasa 79
MTUNGAJI wetu Bwana K. H. A. Akilimali Snow-White ametufanyia hisani kutukusanyia mashairi yake katika sura ya kitabu hiki. Ingawa Bwana Snow-White amefanikiwa sana sana utungaji wa mashairi yu bado kijana mbichi. Hivi mashairi haya mazuri yanaeleza kwa wingi mwendo wa siasa wa vijana, na maonyo na maagizo, pamoja na hekima ya mambo yenyewe kwa namna yanavyofasirika katika maoni ya mtungaji wetu stadl. Baadhi ya mashairi ni jawabu ya mashairi yaliyoandikwa na watungaji wengine, kama ilivyo desturi mashuhuri ya toka asili ya watungaji wa mashairi ya Kiswahili kujibizana. Baadhi ya mashairi haya ni mashangilio au masimango. Baadhi ni maombi au dua. Na mengine ni mashairi yanayohusu mapenzi ndoa na talaka. Mashairi mengine yamo katika sura ya fumbo kwa mfano shairi la 'Jozi' ua 'Ua la moyoni' litafahamika kwa watungaji wengi wa Kiswahili, na hata kwa wasomaji pia kuwa linahusu ndoa na mapenzi.
...
THE EAGLE PRESS Hii ni alama ya East African Literature Bureau, ambayo ni idara moja ya Jumuia ya Kazi za Kushirikiana katika Afrika ya Mashariki. Kazi yake ni kutoa vitabu na kuendesha kazi za maktaba kwa ajili ya wananchi katika Afrika ya Mashariki.
...
Shukrani kwa East African Literature Bureau
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all