Hisabati

Rasilimali za Msingi

Faster download
Download
2.7 MB

Published Year: 2017

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika. Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika. Yaliyomo Namba ya moduli 1 Kuchunguza namba na sulubu ● Sehemu ya 1 Kujifunza kwa kutumia michezo ● Sehemu ya 2 Sampuli katika chati za namba ● Sehemu ya 3 Njia za kufanya maswali ya namba ● Sehemu ya 4 Kuona hesabu za kuzidisha kwa macho ● Sehemu ya 5 Mazoezi ya hesabu za sehemu Namba ya moduli 2 Kuchunguza Maumbo na Uwazi ● Sehemu ya 1 Kuchunguza maumbo ● Sehemu ya 2 Njia za utendaji toka katika karatasi hadi utengenezaji wa mchemraba ● Sehemu ya 3 Kuchunguza maumbo yenye pande 3 ● Sehemu ya 4 Kuchunguza ulinganifu ● Sehemu ya 5 Kufundisha Ugeuzi Namba ya moduli 3 Kuchunguza vipimo na Kusimamia ● Sehemu ya 1 Kuwasilisha vipimo ● Sehemu ya 2 Kupima na kusimamia muda ● Sehemu ya 3 Kujadili data ● Sehemu ya 4 Kupima uzito ● Sehemu ya 5 Kuchunguza masafa