You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Hisabati
Rasilimali za Msingi
Publisher The Open University
Published 2017
sw
Download
2.7 MB
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika. Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika. Yaliyomo Namba ya moduli 1 Kuchunguza namba na sulubu ● Sehemu ya 1 Kujifunza kwa kutumia michezo ● Sehemu ya 2 Sampuli katika chati za namba ● Sehemu ya 3 Njia za kufanya maswali ya namba ● Sehemu ya 4 Kuona hesabu za kuzidisha kwa macho ● Sehemu ya 5 Mazoezi ya hesabu za sehemu Namba ya moduli 2 Kuchunguza Maumbo na Uwazi ● Sehemu ya 1 Kuchunguza maumbo ● Sehemu ya 2 Njia za utendaji toka katika karatasi hadi utengenezaji wa mchemraba ● Sehemu ya 3 Kuchunguza maumbo yenye pande 3 ● Sehemu ya 4 Kuchunguza ulinganifu ● Sehemu ya 5 Kufundisha Ugeuzi Namba ya moduli 3 Kuchunguza vipimo na Kusimamia ● Sehemu ya 1 Kuwasilisha vipimo ● Sehemu ya 2 Kupima na kusimamia muda ● Sehemu ya 3 Kujadili data ● Sehemu ya 4 Kupima uzito ● Sehemu ya 5 Kuchunguza masafa
...
Thank you to The Open University
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all