Publisher The Open University
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika. Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika.
Yaliyomo:
Namba ya moduli 1 Kusoma na Kuandika kwa madhumuni mbalimbali
Sehemu ya 1 Kuhamasisha na kutathmini usomaji na uandishi
Sehemu ya 2 Kuchochea hamasa katika usomaji wa hadithi
Sehemu ya 3 Njia za Usomaji na upokeaji wa taarifa za matini
Sehemu ya 4 Njia za kuwasilisha mtazamo wako
Sehemu ya 5 Njia za kuwa msomaji na mwandishi makinifu
Namba ya moduli 2 Kutumia Sauti za Kijumuia Darasani Kwako
Sehemu ya 1 Kuchunguza hadithi
Sehemu ya 2 Njia za kukusanya na kutenda hadithi
Sehemu ya 3 Kutumia michezo ya jadi katika kujifunza
Sehemu ya 4 Utumizi wa hadithi na ushairi
Sehemu ya 5 Kubadilisha hadithi simulizi, mashairi na michezo kuwa vitabu
Namba ya moduli 3 Uhamasishaji wa mawasiliano katika lugha ya ziada
Sehemu ya 1 Kuandaa mazingira asilia kwa ajili ya mazoezi ya lugha
Sehemu ya 2 Njia zijengazo ufasaha na usahihi
Sehemu ya 3 Kuunda Fursa za Mawasiliano
Sehemu ya 4 Namna ya kujenga juu ya ujuzi wa lugha ya nyumbani
Sehemu ya 5 Kusaidia ujifunzaji wa lugha ya ziada
...