Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kuwanusuru Wakina Mama Wakati Wa Kujifungua Utokaji Damu Nyingi Baada Ya Kujifungua
Mwongozo kwa Watoa Huduma - Mafunzo kwa vitendo katika vikundi
Kimeandikwa na Jhpiego
Mchapishaji Jhpiego, an affiliate of Johns Hopkins University
Mwaka 2015
sw
Mafunzo ya utokaji wa damu nyingi baada ya kujifungua ni jumla ya mafunzo yaliyopangwa kwa vikundi vilivyo mstari wa mbele katika kutoa huduma ya afya ya uzazi kwa wakina mama na vichanga. Mafunzo haya ni muhimu kwa watoa huduma wote wa afya wanaohudumia wazazi. Mafunzo haya yanawajumuisha wahudumu wenye ujuzi (wakunga, madaktari pamoja na wafanyakazi wengine) wanoweza kuitwa kufuatana na hali halisi. Mafunzo ya utokaji damu nyingi baada ya kujifungua yameandaliwa ili kuwasaidia watoa huduma kupata stadi na ujuzi wa kufikia umahiri unaohitajika kumudu kwa usalama na ufanisi kuzuia, kutambua na kuhudumia utokaji wa damu nyingi baada ya kujifungua.
...
ISBN: 1943408084
Shukrani kwa Jhpiego, an affiliate of Johns Hopkins University
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.