You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Sauti Zetu - Huduma za Afya kwa Wote
Publisher Open Society Initiative for East Africa
Published 2012
sw
Pages 52
Moja kati ya haki ya msingi za kila binadamu ni kufurahia viwango vya juu vya afya viwezekanavyo. Serikali zina majukumu ya kitaifa na kimataifa kutoa huduma bora za afya zinazofikika kwa gharama nafuu na zinazopatikana kwa watu wote bila ubaguzi. Hata hivyo, uhalisi huu katika nchi zinazoendelea kama vile katika Afrika Mashariki ni matakwa ambayo bado hayajatimika. Kanuni kuu ni kwamba haki ya afya inategemea upatikanaji wa rasilimali za serikali. Ingawa serikali katika kanda hii zimeweza kuzongwa na ukosefu wa rasilimali na kushindwa kutoa huduma jumuishi za afya kwa watu wote, huduma za afya kwa maskini na wale walioathirika si hiari bali wajibu. Aidha, serikali zina jukumu la kuendelea kupanua utoaji wa huduma ya afya kila mwaka na ni mzigo uko begani mwa serikali kuonesha kwamba inafanya hivyo na kwa upeo wa rasilimali zilizopo.
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all