Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Ukimwi ni Nini?
Mchapishaji Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
sw
MASWALI YANAYO ULIZWA KUHUSU VVU NA UKIMWI Virusi vya UKIMWI (VVU) ni nini? Ni virusi vinavyo shambulia kinga ya mwili na kusababisha ugonjwa wa UKIMWI. UKIMWI NI NINI? Neno UKIMWI ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini: U - Upungufu wa KI - Kinga MWI - Mwilini Kuna uhusiano gani kati ya VVU na UKIMWI? Virusi Vya UKIMWI vinapoingia katika mwili wa binadamu hushambulia chembe chembe nyeupe za damu hivyo kusababisha mwili kukosa kinga yake ya asili dhidi ya magonjwa. Mwili ukipungukiwa na kinga ya asili hushambuliwa kwa urahisi na magonjwa mbalimbali, hivyo hali hiyo huitwa UKIMWI . Kumbuka: Virusi Vya UKIMWI ni chanzo na UKIMWI ni matokeo
...
Shukrani kwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.