You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mifugo yenye afya, Wafugaji wenye furaha!
Mchapishaji Food and Agriculture Organization of the United Nations
sw
Kurasa 4
Pakua 0.6 MB
Ugonjwa unapotokea, na dawa aina ya antibayotiki zikashindwa kufanya kazi, unaweza kupoteza Mifugo yako yote kutokana na ugonjwa. Hii pia inahatarisha afya yako na familia yako kwani ugonjwa unaweza kusambaa kati ya Mifugo na binadamu. Okoa maisha kwa kufuata ushauri uliopohapa chini kuanzia leo! Kuna sababu kuu mbili zinazosababisha dawa zishindwe kutibu magonjwa; • Kutumia dawa isiyo sahihi wakati wa matibabu husika au matumizi holela ya dawa. • Vimelea vinavyosababisha maambukizi vinakuwa sugu dhidi ya dawa- kitendo hiki huitwa “Usugu wa Dawa”. Kila tunapotumia dawa mfano Antibayotiki kutibu maambukizi kwa binadamu, mifugo na mimea, vimelea hawa hupata fursa ya kubuni mbinu mbalimbali za kukabiliana na tiba na kusabababisha dawa zipungue uwezo wa kutibu kadri muda unavyoenda. Usugu wa dawa ni moja ya sababu kubwa inayosababisha dawa nyingi muhimu kushindwa kutibu ipasavyo. Tusipokuwa na dawa zinazofanya kazi vema, watu wengi, mifugo na mimea itakuwa katika hatari kubwa ya kufa kutokana na maambukizi. Lakini tunaweza kuchukua hatua sasa ili kuziwezesha dawa hizi kuendelea kufanya kazi ipasavyo.
...
Shukrani kwa Food and Agriculture Organization of the United Nations
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all