Kumshughulikia Mtoto Nyumbani Baada ya Kuzaliwa - Kile Familia Zastahili Kufanya

A Kiswahili Adaptation of Taking Care of a Baby at Home After Birth: What Families Need to Do

Faster download
Pakua
2.6 MB
Book Thumbnail

Language: sw

Details: The Kiswahili translation by Mr. Benson Ndung’u Ngigge The Original Material by the CORE Group (www.coregroup.org) Illustrations courtesy of American College of Nurse-Midwives (www.acnm.org) Photos from VSO Jitolee (http://www.vsojitolee.org) Funding by British Council ILHFS grant through Powys-Molo Health Link A Joint project of VSO Jitolee and the Medical Officer of Health, Molo

Summary: Pangia uzazi miezi mingi kabla ya mtoto kuzaliwa. Panga mapema kile utahitaji ukiwa mjamzito, kujifungua, na juma moja kabla ya kujifungua. Ikiwezekana, zalia mtoto katika kliniki au uwe na mtu aliye na ujuzi karibu nawe, iwapo kutatokea matatizo. Ikiwa hili haliwezekani, panga mapema ni nani atakusaidia pamoja na mtoto.