Kumshughulikia Mtoto Nyumbani Baada ya Kuzaliwa - Kile Familia Zastahili Kufanya
A Kiswahili Adaptation of Taking Care of a Baby at Home After Birth: What Families Need to Do
Kimeandikwa na CORE Group
Mchapishaji Healthy Baby Newborn Network
sw
Kurasa 23
Pakua 2.6 MB
Pangia uzazi miezi mingi kabla ya mtoto kuzaliwa. Panga mapema kile utahitaji ukiwa mjamzito, kujifungua, na juma moja kabla ya kujifungua. Ikiwezekana, zalia mtoto katika kliniki au uwe na mtu aliye na ujuzi karibu nawe, iwapo kutatokea matatizo. Ikiwa hili haliwezekani, panga mapema ni nani atakusaidia pamoja na mtoto.
...
The Kiswahili translation by Mr. Benson Ndung’u Ngigge The Original Material by the CORE Group (www.coregroup.org) Illustrations courtesy of American College of Nurse-Midwives (www.acnm.org) Photos from VSO Jitolee (http://www.vsojitolee.org) Funding by British Council ILHFS grant through Powys-Molo Health Link A Joint project of VSO Jitolee and the Medical Officer of Health, Molo
...
Kimetafsiriwa na
Benson Ndung’u Ngigge
Shukrani kwa Healthy Baby Newborn Network
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.