You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kiswahili 4 Sanifu kwa Shule za Sekondari - Mwongozo wa Mwalimu
Kidato cha Darasa la Nne Mkondo wa Lugha
Mchapishaji Tan Prints
sw
Mwongozo wa mwalimu kidato cha nne ni kitabu cha kumsaidia mwalimu kufundishia kitabu cha mwanafunzi cha kidato cha nne. Mwalimu ana hiari kufuata na kukubali mpango uliopangwa na waanndishi au kubadilisha sehemu nyingine kwa kufuatana na ujuzi wa lugha hii, yaani Kiswahili. Mwalimu anashauriwa ajaribu awezavyo kusoma sehemu ya matayarisho kabla ya kufunza somo lolote. Kutofanya hivyo kutamfanya mwalimu kushindwa kulisomesha somo lake kwa namna na hali ipasayo. Katayarisho hayawezi kabisa kufanywa siku hiyo wala si rahisi kwa vifaa vyote kupatikana siku hiyo hiyo. Kutokana na hayo yote wanafunzi wataweza kusikiliza, kutamka, kuona, kutenda, kusoma na kuandika Kiswahili vizuri zaidi na kwa urahisi kwa sababu mwalimu amejitayarisha vyema. Kitabu hiki pia, kimetayarishwa kwa ajili ya kurahisisha kazi ya mwalimu ya kufundisha Kiswahili. Tunakuonyesha shabaha za jumla za kila funzo, yanayohitajika kufundishwa kila juma na kila mhula. Namna mwanafunzi na mwanalimu mnavyosaidiana ili somo lenyewe liweze kufikia lengo lake pamoja na vifaa utakavyovitumia kwa kuendeleza somo.
...
Shukrani kwa Tan Prints
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all