Kiswahili 4 Sanifu kwa Shule za Sekondari
Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Nne Mkondo wa Lugha
Kimeandikwa na
Mchapishaji Tan Prints
sw
Kurasa 92
Pakua 0.7 MB
Kitabu hiki ambacho ni “Kitabu cha mwanafunzi kidato cha nne” kinaundwa na sehemu kuu 6 ambazo ni: historia ya Kiswahili, fasihi, ngeli za majina, usemi halisi na usemi wa taarifa, utungaji na aina za maneno. Kitabu hiki kitasaidia katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule zinazofundisha lugha kikiwemo Kiswahili. Kitatilia mkazo matumizi ya Kiswahili katika maisha ya kila siku kwa wale wanaohitaji kuelewa na kutumia Kiswahili ipasavyo.
...
Shukrani kwa Tan Prints
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.