Kiswahili 4 Sanifu kwa Shule za Sekondari

Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Nne Mkondo wa Lugha

Faster download
Pakua
0.7 MB
Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Kitabu hiki ambacho ni “Kitabu cha mwanafunzi kidato cha nne” kinaundwa na sehemu kuu 6 ambazo ni: historia ya Kiswahili, fasihi, ngeli za majina, usemi halisi na usemi wa taarifa, utungaji na aina za maneno. Kitabu hiki kitasaidia katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule zinazofundisha lugha kikiwemo Kiswahili. Kitatilia mkazo matumizi ya Kiswahili katika maisha ya kila siku kwa wale wanaohitaji kuelewa na kutumia Kiswahili ipasavyo.