View this book in English Great Expectations
Matarajio Adimu (Great Expectations)
Kimeandikwa na Charles Dickens
Mchapishaji Genesis Press Kiswahili
Mwaka 2012
sw
Kurasa 481
Matarajio Adhimu ni kitabu cha riwaya za Charles Dickens. Riwaya ambazo kwa mara ya kwanza zilichapishwa kwa mfululizo kwa mwaka mzima kuanzia tarehe 1 Desemba 1860 hadi mwezi Agusti 1861. Riwaya ambazo zimeweza kuigizwa na kuchezwa filamu zaidi ya mara 250. Matarajio Adhimu, kimeandikwa kwa nafsi ya kwanza kuhusu mtoto yatima aitwaye Pip. Kitabu hiki, kama zilivyo riwaya za Dickens, kinaelezea uzoefu wa maisha alisia na watu nyakati hizo.
...
ISBN: 1585716545
Shukrani kwa Genesis Press Kiswahili
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.