You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English What is a Good School?
Sign up for news and free books by email!
Shule Nzuri ni Ipi?
Imagining beyond the limits of today to create a better tomorrow
Written by Dipak Naker
Publisher Raising Voices
sw
Pages 56
Hili chapisho ni kwa ajili ya mtu yeyote mwenye ushawishi kuhusu watoto wanavyopata elimu katika shule zetu. Linajaribu kuwafikia watawala wa shule, waalimu, watungasera na wanaharakati wanaotambua mahitaji ya kuboresha jinsi tunavyotoa elimu. Linalenga kuwafahamisha na kuwahamasisha wale watu wanaotambua shule kama sehemu yetu ya matumaini, ya uwekezaji wetu wa baadaye na ahadi/wajibu wetu kwa watoto leo. Kwa kifupi, chapisho hili linazungumza na kila mmoja mwenye wajibu katika kubuni shule bora. Chapisho hili ni mjadala wa mawazo na siyo mwongozo wa utekelezaji. Linawasilisha hoja na michango inayohitaji kufikiriwa sasa wakati tunatengeneza mustakabali. Kama mdau mwenye maslahi na mwenye ushawishi, maamuzi yako yanaweza kuathiri jinsi shule zetu zitakavyoendelea katika miaka ijayo. Kwahiyo hili chapisho linawasilisha mitazamo na taarifa inayoweza kusaidia kufikri na kuchagua. Matumaini yetu ni kwamba, jinsi unavyosoma hili chapisho, utauliza maswali ya kina zaidi kuhusu jinsi tunavyotoa elimu na itakavyoweza kuwa tofauti na bora. Kwa kuwekeza ushawishi wako, rasilimali na ubunifu katika kutekeleza baadhi ya mawazo yafuatayo unaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya watoto wengi – pamoja na maisha yatakayoguswa na maamuzi yatakayofanywa na watoto hawa pale watakapokuwa viongozi wetu baadaye. Chapisho hili huzungumza na kila mmoja mwenye jukumu katika ujenzi wa shule bora.
...
https://raisingvoices.org/resources/ Raising Voices creates and publishes resources designed to strengthen the practice and discourse on the prevention of violence against women and children. All materials are free for download and available for non-profit use. If you would like to order a hard copy, please email info@raisingvoices.org specifying what you would like, quantity and shipping address. We will then reply with more information regarding cost and further details.
...
ISBN: 9970893095
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all