You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kupata Mtoto
Having a Baby (Swahili 2nd Edition)
Kimeandikwa na
Mchapishaji Idara ya Afya, New South Whales
sw
Kurasa 172
Hongera kwa ujauzito wako! Labda umekuwa ukipanga ujauzito wako kwa muda mrefu, au labda umegundua bila kutazamiwa kuwa uko na mimba. Njia yoyote, inawezakana kuwa una maswali mengi. Kitabu hiki kinatoa maelezo kuhusu jinsi ya kujitunza wewe na mtoto wako wakati wa ujauzito pamoja na wiki zenye shughuli nyingi baada ya uzazi. Ni kuhusu nini unachotazamia wakati wa uchungu wa kujifungua mimba pamoja na uzazi na jinsi ya kuamua maamuzi yenye kufahamika kuhusu utunzaji wako. “Hukuna kitu kingine kama kugundua umekuwa mja mzito. Unatembea barabarani kama una siri nzuri kufichwa ndani yako” -Kit
...
www.kidsfamilies.health.nsw.gov.au Kazi hii ni haki ya kunakili. Inaweza kunakiliwa yote au kwa sehemu kwa kusudi ya mafunzo ya kufuata masharti ya kuweka ndani shukurani ya asili yake. Haiwezi kunakili kwa matumizi ya biashara au kuuza. Kunakiliwa kwa kusudi nje ya kusudi iliyotajwa hapo juu huhitaji ruhusu ya maandishi kutoka kwa Idara ya Afya NSW. Nakala ziada za hati hii zinaweza kupakua kutoka tovuti ya NSW Kids and Families www.kidsfamilies.health.nsw.gov.au
...
ISBN: 9781760001797
Shukrani kwa Idara ya Afya, New South Whales
Kiungo cha Chanzo www.kidsfamilies.health.nsw.gov.au
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all