Uongozi Bora
Kitabu cha Mafunzo ya Uongozi
Written by
Publisher Women's Learning Partnership for Rights, Development, & Peace
Published 2003
en
Download
Uongozi Bora: Kitabu cha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake, kitakuwa chombo muhimu sana katika kuwawezesha na kuwapa wanawake madaraka ya kumudu maisha yao duniani kote. Pamoja na kuzingatia mawazo mengi tena mazuri kuhusu uongozi kutoka vyanzo tofauti, kitabu hiki kinayaweka pamoja mawazo hayo na maono mapya kwa namna ya kipekee inayokiwezesha kusomwa na kueleweka, na kuwafaa wanawake wote. Kwa hakika, mimi binafsi, sijawahi kuona kitabu kingine cha mafunzo ambacho ni rahisi kukubalika na kurekebishwa ili kufaa mahitaji na matumizi ya watu mbalimbali (ikiwa ni pamoja na wanaume), huku kikizingatia tofauti za mahitaji na mazingira yao. Zaidi ya hayo, mtindo wa kushirikisha uliotumika katika masomo ya kitabu hiki unaonyesha dhahiri aina ya uongozi unaohimizwa na kitabu chenyewe, yaani uongozi wa kushirikisha. -Nancy Flowers, mwandishi na mwalimu wa haki za binadamu
...
Leading to Choices- A Leadership Training Handbook for Women (Swahili Edition)
...
ISBN: 0972939520
Thank you to Women's Learning Partnership for Rights, Development, & Peace
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.