Uongozi Bora

Kitabu cha Mafunzo ya Uongozi

Faster download
Download

Published Year: 2003

Book Thumbnail

Language: en

Details: Leading to Choices- A Leadership Training Handbook for Women (Swahili Edition)

Summary: Uongozi Bora: Kitabu cha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake, kitakuwa chombo muhimu sana katika kuwawezesha na kuwapa wanawake madaraka ya kumudu maisha yao duniani kote. Pamoja na kuzingatia mawazo mengi tena mazuri kuhusu uongozi kutoka vyanzo tofauti, kitabu hiki kinayaweka pamoja mawazo hayo na maono mapya kwa namna ya kipekee inayokiwezesha kusomwa na kueleweka, na kuwafaa wanawake wote. Kwa hakika, mimi binafsi, sijawahi kuona kitabu kingine cha mafunzo ambacho ni rahisi kukubalika na kurekebishwa ili kufaa mahitaji na matumizi ya watu mbalimbali (ikiwa ni pamoja na wanaume), huku kikizingatia tofauti za mahitaji na mazingira yao. Zaidi ya hayo, mtindo wa kushirikisha uliotumika katika masomo ya kitabu hiki unaonyesha dhahiri aina ya uongozi unaohimizwa na kitabu chenyewe, yaani uongozi wa kushirikisha. -Nancy Flowers, mwandishi na mwalimu wa haki za binadamu