You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kiwango Kikuu cha Kibinadamu kuhusu Ubora na Uwajibikaji
Kimeandikwa na CHS Sphere
Mchapishaji CHS Alliance, Groupe URD na Mradi wa Sphere
Mwaka 2014
sw
Kurasa 24
Kila kukicha kote duniani, idadi kubwa ya watu kutoka matabaka mbali mbali huchukua hatua muhimu za kibinadamu - hamu ya kuzuia na kupunguza mateso kwa binadamu janga zinapotokea. Kiwango Kikuu cha Kibinadamu kinachohusu Ubora na Uwajibikaji (CHS) kimeweka Maazimio Tisa ambayo mashirika na watu binafsi wanaohusika katika usaidizi wa kibinadamu wanaweza kutumia kuboresha na kunufaisha usaidizi wanaotoa. CHS pia huwezesha uwajibikaji zaidi kwa jamii na watu walioathiriwa na mikasa: kufahamu maazimio ya mashirika kutawasaidia kuyashinikiza yawajibike. CHS huzipa kipaumbele jamii na watu walioathiriwa na mikasa katika usaidizi wa kibinadamu na kuhimiza kuheshimu haki zao za kibinadamu.
...
Kitabu hiki kinahusiana na darasa hili: https://kayaconnect.org/course/info.php?id=549 Soma bure mtandoani kwa kiswahili. © Haki zote zimehifadhiwa. Hakimiliki ya maudhui yaliyomo hapa ni ya CHS Alliance, Groupe URD na Mradi wa Sphere. Maudhui haya yanaweza kuchapishwa upya kwa madhumuni ya kielimu, ikiwa ni pamoja na mafundisho, utafiti na shughuli za miradi, maadamu Kiwango Kikuu cha Kibinadamu kinachohusu Ubora na Uwajibikaji kimefuatwa. Ili kutafsiri au kuomba sehemu ndogo au maudhui yote ya Kiwango Kikuu cha Kibinadamu kinachohusu Ubora na Uwajibikaji, ni sharti mhusika apewe ruhusa kwa kutuma barua pepe kwa info@corehumanitarianstandard.org.
...
ISBN: 9780995505315
Shukrani kwa CHS Alliance, Groupe URD na Mradi wa Sphere
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all