Kitabu cha Wewe, Maisha Yako, Ndoto Zako ni tafsiri ya “You, Your Life, Your Dreams” kilichoandikwa kwa mara ya kwanza mwaka 2000 na shirika la “Family Care International” lenye Makao Makuu Mjini New York, nchini Marekani kwa kushirikiana na shirika la “Straight Talk Foundation” la Uganda. Toleo la awali kabisa liliandikwa na Catharine Watson Mkurugenzi Mhariri wa “Straight Talk Foundation” kwa kushirikiana na Ellen Brazier ambaye wakati huo alikuwa Mkurugenzi wa Programu ya Afrika ya Mashariki katika Shirika la Ubora wa Afya kwa Familia Duniani.
English translation: https://healtheducationresources.unesco.org/sites/default/files/resources/bie_fci_you_your_life_your_dreams_africa_602d_en.pdf
...
Search for
free books about Parents
,
free books about Health
,
free books about Relationships
or
free books about Youth
Download free pdfs
Free books by category
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books:
Browse all
No Books Found
Based on the filters you selected, there are currently no books.