Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Muongozo Wa Utumaji Taarifa Na Utangazaji Tokea Nyumbani
Covid-19
Mchapishaji Children's Radio Foundation
sw
Kurasa 36
Pakua
0.4 MB
Childrens Radio Foundation (CRF) hivi sasa hufundisha wanahabari vijana katika vituo 68 vya redio katika nchi sita za Afrika (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Liberia, Ivory Coast , Afrika Kusini, Tanzania, na Zambia) kutoa vipindi vya redio kila wiki na shughuli za kijamii kila mwezi. Unafanyia kazi mada kama vile mabadiliko ya tabia nchi, afya ya kijinsia na uzazi, elimu, uhamiaji, vurugu na usalama wa jamii, na mengine. Unachukua wasikilizaji wa kipindi cha redio na washiriki wa shughuli za kijamii kwenye safari muhimu ya kuelewa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii yako. Kwa kweli tunajivunia alama ambayo umeiweka kupitia mazungumzo haya, na tusingetaka hiyo isimame sasa. Kuripoti kuhusu mada yoyote huhitaji utunzaji na uwajibikaji, kutoa taarifa kuhusu COVID-19 inahitaji hili zaidi. Muongozo huu una malengo matatu makuu: 1. kuzingatia COVID-19 na kuipa kipaumbele katika ajenda yako 2. kukujulisha kuhusu kuripoti na kutangaza vipindi tokea nyumbani na jinsi inavyofanywa 3. kukupa uwezo wa kupata vijana wengine na watu wazima katika jamii yako ambao wanataka kutoa hadithi/ simulizi zao za COVID-19
...
Muongozo huu umetengenezwa na Children’s Radio Foundation kwa kushirikiana na UNICEF ya Afrika ya Kusini (UNICEF South Africa) Covid-19 Remote Reporting Toolkit - translation: https://childrensradiofoundation.org/wp-content/uploads/2020/04/2020_COVID19-7_RemoteReportingToolkit_D4_FINAL.pdf
...
Shukrani kwa Children's Radio Foundation
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.