You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Mpango Husishi wa Watu, Afya na Mazingira katika Bonde la Ziwa Victoria
Mwongozo wa mafunzo kwa ajili ya wafanyakazi wa afya katika jamii
Mchapishaji Kamisheni ya Bonde la ziwa Victoria
sw
Kurasa 44
Mwongozo huu wa kufundishia Wataalam wa afya katika jamii (CHWs), timu za afya za vijiji (VHTs), Ushirika wa misitu (CFAs), na wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori unalenga kuwajengea uwezo ili waweze kushirikiana na kaya pamoja na jamii katika harakati zao za kuboresha afya zao na kuhifadhi mazingira katika njia zilizo shirikishi. Kwa kutambua kuwa kaya na jamii zinajihusisha kikamilifu katika kuyaelezea masuala yao ya afya, mafunzo yanalenga kuwawezesha wafanyakazi wa afya katika jamii, timu za afya za vijiji na wafanyakazi wa hifadhi ya mazingira kuweza kusaidia jamii kutathmini hali zao, kutambua mapungufu na kugundua chanzo cha mapungufu hayo ili kuchukua hatua. Kupitia mafunzo haya vikundi vya kijamii vinategemewa kupata ujuzi na stadi zitakazowawezesha kujihusisha moja kwa moja na kaya pamoja na jamii ili kuboresha afya zao, jitihada zao za hifadhi ya mazingira kupitia mijadala yenye heshima na inayothibitika itakayopelekea kuchukua hatua kwa ajili ya kuboresha.
...
© Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria, 2014 Hairuhusiwi kuzalisha mwongozo huu wa mafunzo kwa ajili ya shughuli yoyote ya kibiashara. Hata hivyo mwongozo unaweza kunukuliwa kwa lengo la kufundishia, utawala na upangaji wa mipango ili mradi kamisheni ya Bonde la ziwa Victoria (LVBC) itambuliwe rasmi.
...
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all