Redio
Sayansi na Teknolojia Katika Maisha

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/sayansi-na-teknolojia-katika-maisha-redio/
Summary: Je Redio ni nini? Sauti na muziki unaosikia redioni unatoka wapi? Soma kitabu hiki ili uweze kujibu maswali haya na mengine mengi. Pia unaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza redio rahisi.