Safari ya Prospa
Kimeandikwa na
Mchapishaji E & D Limited
Mwaka 1995
sw
Kurasa 173
Merisho ana umri wa miaka minne,ni mpwa wa Prospa na mtoto pekee wa Mwalimu Josefina. Merisho anatoweka katika mazingira ya kutatanisha. Juhudi zote za Mama na Polisi zinagonga mwamba. Kwa hiyo Prospa anajitosa kwenye ulimwengu wa ujasusi na kuamua kwenda Darisalam kumtafuta ndugu yake. Je atafanikiwa?
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/safari-ya-prospa/
...
ISBN: 998788492X
Shukrani kwa E & D Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.