You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Pesa za Mawe
Kimeandikwa na Oscar Ulomi
Mchapishaji E & D Limited
Mwaka 2006
sw
Kurasa 70
Rasta Kala Ndezi ni kijana aliyekosa dira tangu alipokuwa mdogo. Kazaliwa kutokana na mzazi mkatili na mlevi. Uhalifu ukawa kitu cha kawaida kwake, naye akawa mtu muafaka wa kutumika katika uhalifu. Kala alipoingia katika biashara ya kuuza “mawe” akajikuta anaishi ndani ya mkondo wa Maisha ya kichinichini ya ufisadi uliokithiri. Pesa za Mawe ni hadithi inayotufungulia pazia kutuonyesha yanayoweza kuwa yanatokea hivi sasa hapa Tanzania. Hadithi inatuchorea barabara ya biashara haramu ya madini inayovuka mipaka ya nchi, kanda na hatimaye kufika katika masoko makubwa ya dunia. Hadithi inatuonyesha jinsi maliasili yetu ya madini inavyoweza kuishia katika mikono ya watu wachache mno, watu ambao kwao “pesa” ni Imani, na ‘Ufisadi ‘ ni itikadi. Cha kutia moyo ni kwamba Pesa za Mawe ni kielelezo kamili kuwa ufisadi haulipi.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/pesa-za-mawe/ alternate isbn: 9987-411-38 x
...
ISBN: 998741138X
Shukrani kwa E & D Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all