Will you Be My Friend/ Utakuwa Rafiki Yangu

Book Thumbnail

Language: multiple

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/will-you-be-my-friend-utakuwa-rafiki-yangu/

Summary: Let us play together,the cloud asked. Go away,growled the lion,I am too important to play with you. How typical,thought the little cloud and sailed away. Tucheze Pamoja,kiwingi kidogo kilishi. Nenda zako,simba alinguruma. Mimi nilivyo maarufu haiwezekani nikacheze na wewe. Sishangai,kiliwaza kiwingu kidogo na kupita zake.