Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Pambazuko Gizani
Kimeandikwa na Karumuna Mboneko
Mchapishaji E & D Limited
Mwaka 2004
sw
Kurasa 77
Bwana Klaus Mayhofer kutoka Freising, Ujerumani ni mjukuu wa Padre Klaus wa White Fathers aliyefanyia kazi kanisa katoliki huko Bubako tangu mwaka 1812. Kalaus amefika Tanzania kutafuta ndugu zake, watoto wa Padre huyo baada ya kifo chake. Safari ya Klaus inatufunulia mengi kuhusu maana na heshima ya Kanisa Katoliki na vitendo vya Mapdre wanaolitumikia. Fuatilia kisa hiki.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/pambazuko-gizani/
...
ISBN: 9987411045
Shukrani kwa E & D Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.