You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sitaisahau MV Bukoba
Written by Nyaisa Simango
Publisher E&D Vision Pub.
Published 2009
sw
Pages 167
SITASAHAU MV BUKOBA: Ni kitabu kinachoelezea hali halisi ilivyokuwa ndani ya meli ya MV Bukoba kabla na baada ya ajali. Nyaisa Simango ni miongoni mwa abiria wachache tu walionusurika katika ajali hiyo. Anajaribu kuelezea tangu mwanzo wa safari yake toka Dar es salaam kwa treni hadi Mwanza, na kutoka Mwanza kwenda Bukoba, na safari yake ya kurudi kutoka Mwanza kwenda Bukoba, na safari yake ya kurudi kutoka Bukoba na meli hiyohiyo hadi ilipoishia kwa kupinduka na kuzama, kiasi cha maili kumi hivi kabla ya kufika bandarini Mwanza. Amejaribu kuelezea matatizo mbalimbali ya MV Bukoba tangu mwanzo wa safari hadi kuzama kwake,na athari za ajali hii kijamii, kiuchumi na kisiasa. Mwisho anahitimisha kwa kutoa uchambuzi wa majanga kama haya, mapendekezo na ushauri kwa taasisi mbalimbali zinazotoa huduma kwa jamii.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/sitasahau-mv-bukoba/
...
ISBN: 9987521436
Thank you to E&D Vision Pub.
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all