Ndege-Maji Ufukweni
Mkusanyiko wa Hadithi kwa Vijana wa Afrika
Kimeandikwa na Elias Mutani
Mchapishaji E&D Vision Publishing
Mwaka 2019
sw
Kurasa 257
Hadithi hizi kutoka bara la kale Zaidi duniani lenye idadi kubwa ya vijana zinahusu mambo mbalimbali toka yale ya njozi za Afrika nyingine inavyoweza kuwa; ushuhuda wa vijana kutoka vitani; siri ya kifo na maswali ya kila mtu kuhusu familia, urafiki, na ngono. Licha ya mawanda mapana ya mada, hadithi katika mkusanyiko huu wa kwanza wa kihistoria wa Hadithi za Vijana wa Afrika zimesimuliwa kwa sauti ambayo kijana au yeyote aliyewahi kuwa kijana anaielewa. Ni sauti za uthubutu, wakati mwingine zimejaa mashaka, lakini daima zinaongelea ulimwengu unaowazunguka.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/ndege-maji-ufukweni/
...
ISBN: 9987735746
Shukrani kwa E&D Vision Publishing
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.