Ndege-Maji Ufukweni
Mkusanyiko wa Hadithi kwa Vijana wa Afrika
Published Year: 2019

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/ndege-maji-ufukweni/
Summary: Hadithi hizi kutoka bara la kale Zaidi duniani lenye idadi kubwa ya vijana zinahusu mambo mbalimbali toka yale ya njozi za Afrika nyingine inavyoweza kuwa; ushuhuda wa vijana kutoka vitani; siri ya kifo na maswali ya kila mtu kuhusu familia, urafiki, na ngono. Licha ya mawanda mapana ya mada, hadithi katika mkusanyiko huu wa kwanza wa kihistoria wa Hadithi za Vijana wa Afrika zimesimuliwa kwa sauti ambayo kijana au yeyote aliyewahi kuwa kijana anaielewa. Ni sauti za uthubutu, wakati mwingine zimejaa mashaka, lakini daima zinaongelea ulimwengu unaowazunguka.