Sign up for news and free books by email!
Mpe Maneno Yake
Written by Freddy Macha
Publisher E & D Limited
Published 2006
sw
Pages 188
Mpe Maneno Yake ni mkusanyiko wa visa vilivyosibu na kuibuka sehemu mbalimbali alizoishi na kusafiri katika kipindi cha miaka 30 iliyopita. Ndani ya ucheshi na kejeli zilizosheheni katika maandishi ya Macha, yamejificha masuala muhimu ya kijamii, hasa yale yanayowakumba watu wa hali duni. Visa vyake vinavunja mbavu,vinasisimua na wakati huohuo vinaumiza kichwa.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/?s=mpe&product_cat=0&post_type=product
...
ISBN: 9987411320
Thank you to E & D Limited
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.