You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Atlasi ya Tanzania kwa Shule za Msingi
Mchapishaji E & D Vision
sw
Atlasi hii ya Tanzania inasisitiza kwenye mahitaji mahususi kwa wanafunzi na waalimu wa Shule za Msingi za Tanzania. Atlasi inatoa taarifa kwa upana na kinaganaga kuzingatia Muhtasari Mpya wa Jiografia kwa Darasa la 3 mpaka la 7. Atlasi ya Ujifunzaji Shirikishi ina tofauti ya pekee kwa sababu inampa mwanafunzi ufafanuzi unaohitajika kuhusu dhana muhimu za ramani:pamoja na shughuli nyingi ambazo zimewasilishwa katika viwango mbalimbali kwa kila darasa kulingana na ugumu wa maudhui yaliyomo kwenye Muhtasari.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/atlasi-ya-tanzania/
...
ISBN: 978770269491
Shukrani kwa E & D Vision
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all