Fumbua MAFUMBO ya Tau na Bibo

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/fumbua-mafumbo-ya-tau-na-bibo/

Summary: Fumbua Mafumbo ya Tau na Bibo ni kitabu cha chemsha bongo kinachomsaidia mtoto kutambua namba, herufi na vitu mbalimbali vilivyopo katika mazingira yake. Pia kinaongeza uwezo wa mtoto wa kufikiri na kumakinikia jambo.