Nyani Mtu

Published Year: 2004

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/nyani-mtu/ Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili

Summary: Nyani Mtu ni kisa cha kusisimua cha Nyani mmoja aliyebadilika na kuwa mwanamke mzuri. Anaolewa na binadamu na kuzaa watoto. Baadaye, anaanza kuota manyoya, mkia, kubadilika sura na hatimaye kuirudia asili yake ya Nyani. Kwani mambo yalikuwaje? Soma ili ugundue mkasa mzima.