Kuku Mweusi na Kenge

Language: sw
Details: Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili link: https://mkukinanyota.com/product/kuku-mweusi-na-kenge/
Summary: Kuku alikuwa akitaga mayai. Lakini kuna aliyekuwa akiyaiba. Hata hivyo, siku za mwizi ni arobaini. Kuku alitumia ujanja na akili kumbaini mwizi huyo na kumuadabisha kwa adhabu ya aina yake. Soma ugundue…