Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Diwani ya Ustadhi Nyaumaume
Kimeandikwa na Khamis Amani Nyamaume
Mchapishaji Mkuki na Nyota Publishers
Mwaka 2004
sw
Kurasa 98
Mkusanyiko wa mashairi ya mmoja kati ya washairi maarufu na waliopendwa, Khamis Amani Nyamaume. Alifahamika kwa uwezo wake wa kutunga mashairi juu ya mada nyingi na tofauti na katika mapana ya aina za mashairi. Kwa sababu hiyo na nyingine, Khamis Nyamaume alipendwa na wasomaji wa rika zote. Washairi wenzake walikuwa akina Shaaban Robert, Mathias Mnyampala, Sheikh Kaluta Amri Abedi, Hassan Mbega, Mdanzi Hanasa na Mahmood Hamdouny na wote hawa walithamini sana ushairi wake. A collection of Swahili poems by one of the best known and admired poet, Khamis Amani Nyamaume. He is well known for the range of themes he covered and the different poetic genres he commanded which makes his poetry accessible and appreciated by people of all ages. He was the contemporary of such Swahili luminary poets as Shaaban Robert, Mathias Mnyampala, Shaaban Gonga, Sheikh Mohamed Ali, Sheikh Kaluta Amri Abedi, Hassan Mbega, Mdanzi Hanasa and Mahmoud Hamdouny all of whom admired his poetry.
...
ISBN: 9987686834
Shukrani kwa Mkuki na Nyota Publishers
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.