You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Heri
Publisher Mkuki na Nyota Publishers
Published 2002
sw
Pages 126
Hii ni hadithi inayochambua jamii ya mjini kwa kina na kuweka bayana matukio na matatizo mbalimbali ya vijana na jamii nzima. Mhusika mkuu katika hadithi hii, Heri, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi anayeona vigumu kuzingatia masomo kwa vishawishi vya mapenzi na kujikuta amebanwa na mahitaji ya mpenzi wake, Pendo, na ukali wa walimu wake na jinsi anavyojitahidi kujikwamua. Baba yake Heri, anamhamasisha kwa kumwambia kuwa jina lake, Heri, lina maana kubwa: Hangaikia Elimu Raha Inakungoja. Ni Hadithi nzuri inayoonya,kufundisha na kuelimisha. This novel is about city people and particularly the engagement of youth and society in cities. It tells the story of a student in the city who finds himself embroiled in a problematic love relationship that interferes with his education; and shows how he tries to extricate himself.
...
ISBN: 9987686494
Thank you to Mkuki na Nyota Publishers
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all