Nataka Kuwa Tajiri
Published Year: 2004

Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/nataka-kuwa-tajiri/
Summary: Masumbuko alitaka kupata utajiri kwa haraka, akatoroka shule kwenda mjini na akaishia mahabusu. Alipata matatizo mengi na kujifunza mengi. Fuatilia kisa hiki kwa makini ili ujifunze na kuelimika.