Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Hadithi ya Kinyonga Ambaye Hakuweza Kubadili Rangi
Kimeandikwa na Walter Bgoya
sw
Katika familia ya Bwana na Bibi Kinyonga, wanazaliwa watoto wengi kwa mpigo. Mmoja wao hana uwezo wa kujibadili rangi. Familia nzima inapatwa na simanzi… atajilindaje dhidi ya maadui? Soma kisa hiki ujue ni kwa vipi kinyonga huyu mdogo anageuka kuwa shujaa wa kutegemewa. Alternative versions This book is also avalible in English, The Chameleon Who Could Not Change Her Colour
...
Kimetafsiriwa na
Walter Bgoya
ISBN: 9986686532
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.