Hadithi ya Kinyonga Ambaye Hakuweza Kubadili Rangi

Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/hadithi-ya-kinyonga-ambaye-hakuweza-kubadili-rangi/ Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili, Translation see also: The Chameleon Who Could Not Change Her Colour
Summary: Katika familia ya Bwana na Bibi Kinyonga, wanazaliwa watoto wengi kwa mpigo. Mmoja wao hana uwezo wa kujibadili rangi. Familia nzima inapatwa na simanzi… atajilindaje dhidi ya maadui? Soma kisa hiki ujue ni kwa vipi kinyonga huyu mdogo anageuka kuwa shujaa wa kutegemewa. Alternative versions This book is also avalible in English, The Chameleon Who Could Not Change Her Colour