You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Uwazi na Ukweli: Kitabu cha Nne
Publisher Mkuki na Nyota Publishers
Published 2003
sw
Hiki ni kitabu cha Nne katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli vyenye mkusanyo wa hotuba za kila mwisho wa mwezi za Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Benjamin W. Mkapa. Katika Toleo hili Rais anajadili kwa uwazi na ukweli juu ya masuala mbalii mbali ya muhimu kwa taifa, kama vile: Ulazima wa kuweka Bajeti Ndogo ili kugharimia athari za ukame kama vile uhaba wa chakula na ugharimikiaji uzalishaji wa umeme; pia gharama za uandaaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura; Ripoti ya Tume ya Kimataifa kuhusu Masuala ya kijamii katika Utandawazi na umuhimu wa kufanya juhudi za kuepuka athari za utandawazi kuanzia nyumbani; Ushirikiano wa utatu kati ya Serikali, wananchi na wahisani katika kupiga vita umaskini; Umuhimu wa kushiriki katika Tume ya Kimataifa iliyoanzishwa na Mheshimiwa Tony Blair, Waziri Mkuu wa Uingereza; Dhana halisi ya Bajeti ya Taifa na namna dhana hiyo inavyotakiwa kueleweka; na Dhima ya wananchi na Serikali katika vita dhidi ya ugonjwa waPia mheshimiwa Rais anazungumzia umuhimu wa wananchi katika kushiriki- ana na jeshi la polisi ili kupunguza wimbi la uhalifu. Anaeleza pia uanzishaji wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) kufuatia mafani- kio makubwa ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya msingi (MMEM) hatimaye anaeleza kuhusu Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA), hali ya siasa nchini na uhusiano na ushirikiano na mataifa ya nje.
...
link: https://mkukinanyota.com/product/uwazi-na-ukweli-4/
...
ISBN: 9987417426
Thank you to Mkuki na Nyota Publishers
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all