You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Chatu, Gozi la Simba na Manyigu
Kimeandikwa na Tololwa Mollel
Mchapishaji Mkuki na Nyota
Mwaka 2015
sw
Kurasa 18
Katika hadithi hii, Sungura anajigamba yeye ni mwerevu kupita wote. Majigambo yake yanamkera Muumba vyote. “Nitakupa majukumu matatu nione werevu wako huo. Vitu vitatu niletee. Chatu, aliye hai. Gozi la simba, pia aliye hai na mtungi uliojaa manyigu, walio hai.” Aliamuru Muumba vyote. Mikakati ya kutimiza majukumu hayo inamletea Sungura maadui wapya watatu. Ni vipi Sungura atatimiza majukumu hayo? Fuatilia
...
link: https://mkukinanyota.com/product/chatu-gozi-la-simba-na-munyigu/
...
ISBN: 9987753086
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all