Publisher Mkuki na Nyota Publishers
Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vya Methali za Kiswahili. Kina mambo yafuatayo: – Methali mia moja na ishirini na tano za Kiswahili; – Methali zenyewe zimepangwa kiabjadi; – Kila methali imeelezwa maana yake, hekima yake na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye kugha hii.
...